Sifa Lyrics

Ebenezer ni Mungu by Beatrice Mwaipaja cover art

Beatrice Mwaipaja - Ebenezer ni Mungu Lyrics

Artist:
Beatrice Mwaipaja

Lyrics

We ni Ebenezer Mungu wa rehema 


Unayetutia nguvu kila saa 


We ni Ebenezer Mungu mwenye nguvu


Uliyeniwezesha kufika hapa


Kila nikiwaza nakosa jibu 


Kila nikiwaza nashindwa elezea 


Kwa jinsi yale makubwa uliyonitendea 


Kwa maana yale mazuri unayoniwazia ni makuu mno 


Ebenezer ni Mungu (wewe ni Mungu) 


Ebenezer ni Mungu (Baba ni Mzuri) 


Ebenezer ni Mungu wangu 


Ebenezer ni Mungu (tena ni Mungu)


Ebenezer ni Mungu (tena ni Baba) 


Ebenezer ni Mungu (wangu ni mshindi)


Ebenezer ni Mungu wangu 


Ebenezer ni Mungu (tena ni Mungu) 


Kuwa jinsi nilivyo natumbua ni Mungu 


Wewe ni Mungu Baba 


Mimi jinsi nilivyo natumbua ni Mungu 


Wewe ni Mungu mwema aah 


Ebenezer ni Mungu 


Mungu wa maisha yangu 


Hivyo nilivyofika mimi ni Ebenezer 


Nimetoka mbali Mungu umenifikisha nilipo 


Mimi kuwa nilivyo, wacha niseme we ni Ebenezer 


Aaah dunia nzima itambue 


Viumbe vyote vikuinue 


Kwa maana wewe Mungu unastahili 


Kwa maana wewe Mungu unastahili kuabudiwa 


Ebenezer ni Mungu (wewe ni Mungu) 


Ebenezer ni Mungu (Baba ni Mzuri) 


Ebenezer ni Mungu wangu 


Ebenezer ni Mungu (tena ni Mungu)


Ebenezer ni Mungu (tena ni Baba) 


Ebenezer ni Mungu (wangu ni mshindi)


Ebenezer ni Mungu wangu 


Ebenezer ni Mungu (tena ni Mungu) 


Mungu ni mwema kwangu...


Video