Nifanane Nawe

Nifanane Nawe Lyrics

Sishangai ulimwengu kupa sifa Jehovah eeh
Muumba wa vyote kwetu 
una manufaa zaidi, Baba aah .

Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa 
Vipofu na vilema 
Hata niwe na shida zenye utatata 
Miujiza unatenda 
Wacha nikuiite Yahweh 
Mfalme wa wafalme 
Hakuna kama wewe, uhimidiwe Bwana  .

Oh moyo/Yahweh (Ninataka nifanane nawe) 
Wema wako (Ninataka nifanane nawe) 
Oh Yahweh (Ninataka nifanane nawe) .

Wengine wanashindwa vumilia kwako 
Wanaenda kuchawiya kipato
Hawajui fahari ni wewe, utajiri wako wa milele
Mbinguni na duniani, oh Baba  .

Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa 
Vipofu na vilema 
Hata niwe na shida zenye utatata 
Miujiza unatenda 
Wacha nikuiite Yahweh 
Mfalme wa wafalme 
Hakuna kama wewe, uhimidiwe Bwana  .

Oh moyo/Yahweh (Ninataka nifanane nawe) 
Wema wako (Ninataka nifanane nawe) 
Oh Yahweh (Ninataka nifanane nawe) .

I want to be just like You (Ninataka nifanane nawe) 
To be like you (ninataka nifanane) 
Oh Yahweh (ninataka nifanane)


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nifanane Nawe:

0 Comments/Reviews