Sifa Lyrics

Sifa by Wahu Kagwi cover art

Wahu Kagwi - Sifa Lyrics

Artist:
Wahu Kagwi

Lyrics

Sifa na heshima ni zako
Utukufu na wema ni wako
Adui wangu wote wanatoweka
Sifa Kwako Baba


You have been good to me
You have shown me mercy
All of my enemies they scatter de scatter
At the sound of You My Jehovah


I will give you the glory and honor
I bow down to your grace and power
Coz all my enemies they scatter they scatter
When I give you the praise


Umeniokoa eh Baba ukaniunua
Adui zangu wote wanatoweka
Kwa nguvu zako simba wa Yudah


Sifa na heshima ziwe zako
Utukufu na wema ni wako
Adui wangu wote wanatoweka
Sifa Kwako Baba


Ewe Baba Yangu Mungu wangu wa Huruma
Ombi langu lisikie,
Nami niandike katika kile kitabu cha uzima wa Milele


Video