Sifa Lyrics

Asante Baba by Beatrice Mwaipaja cover art

Beatrice Mwaipaja - Asante Baba Lyrics

Artist:
Beatrice Mwaipaja

Lyrics

Leo ooh kwa neema za 


Ni Mungu ni Mungu ni Mungu uu 


Ni Baba ni Baba ni Baba ah 


Ametenda leo Mungu uu 


Amefanya leo Baba aah 


Pendo lake limenitoa mbali Baba 


Amenifikisha hapa nilipo Mungu 


Huruma zake Baba zimenitafuta mie eh 


Fadhili zake Mungu zimenitoa mbali 


Leo Mungu amefanya jambo maishani mwangu 


Acha niringe mimi nina Mungu 


Acha nilinge Baba amenitoa mbali ii 


Ametenda mema kwangu uu 


Ni Mungu leo ni Mungu (aaah) 


Ni Baba leo ni Baba (asante) 


Asante Baba 


Asante (asante Baba aah)


Asante (asante Baba) 


Asante (asante Baba) 


Ni Mungu leo nashukuru Mungu 


Umepata mtoto mzuri (shukuru) 


Umefaulu mitihani (shukuru) 


Ni Mungu ni Mungu ni Mungu uu 


Ni Baba ni Baba ni Baba ah  


Malaika ulivyo mpendwa ni Mungu 


Usijivune bure wewe ni Mungu 


Mali ulizonazo ni Mungu (shukuru) 


Sio kwamba wewe ni mzuri sana (shukuru) 


Ila ni neema ya Mungu 


Unaendesha gari lako ni Mungu 


Ni Mungu leo ni Mungu (aaah) 


Ni Baba leo ni Baba (asante) 


Asante (asante Baba aah)


Asante (asante Baba) 


Asante (asante Baba) 


Tuzishe sala ili tuwe imara 


Tusije tukapotea, Asante (asante Baba)


Asante (asante Baba) 


Asante (asante Baba) 


Video