Beatrice Mwaipaja - Tenda Tena Lyrics

Lyrics

 Ni muda kabla utabasamu  Huoni matunda ya kazi yako ngumu Kila Siku magoti kwa madhabao Ila jibu no mbingu imenyamaza kimya Karo ya shule na Kodi washindwa  Utaitoa wapi

Tena maswali Ni Mengi Ni jibu tu Umekosa Ona Yesu anabisha anasema shida Zimekwisha Roho yako atuisha  Mfungulie Kama alitenda Yesterday atatenda leo

Hajabadilika Kamwe Kama alitenda Yesterday Atatenda leo Hajabadilika Kamwe

Anakuona Sanar vile umekazana Ila bila mafanikio anaona tu Hakuna Mbaya anasema Ila Hauko pekee yako tu

Mungu Si Binadamu avunje agano lake Anangoja Imani yako atimize agizo lake  Lipi gumu kwake Hakuna lisilomshinda 

Fedha Ni zake Deni atakulipia Ona Yesu anabisha anasema shida  Zimekwisha Roho yako atuisha mfungulie

Kama alitenda Yesterday atatenda leo Habadiliki Kamwe Ule sa wa kusema  Maneno haya bila hofu na mashaka Usoni Sina haya Ule saa wa kusema  Maneno haya bila hofu na mashaka  Usoni Sina haya Kufuta ubaya wangu Kuondoa mashaka na kunipaa ujasiri Umefuta machozi yangu umerejeshwa

Umerejesha furaha yangu iliopotezwa Umetenda Bwana Umetenda Yesu

Wewe Ni Mungu unayetenda unatenda Unatenda tenda na tenda unatenda tenda tenda(x2)

Umenitendea Mengi Bwana Umenitendea Mengi Mungu Nimeziona fazili zako kwangu

Ule ubaya walionitakia  Wewe Mungu sio kama Mwanadamu Kila siku Kuna mema  Kila siku Mungu unanipandisha Juu Sifa utukufu nakupa Mungu wangu

Wewe Ni Mungu unayetenda unatenda tenda na tenda tenda na tenda unatenda tenda na tenda (x2)  

Video

Beatrice Mwaipaja - Unatenda Tena [Official Music Video]

Thumbnail for Tenda Tena video
Loading...
In Queue
View Lyrics