Sijawahi Weza Bila Wewe Lyrics - Dr Ipyana
Dr Ipyana swahili
Buy/Download AudioSijawahi Weza Bila Wewe Lyrics
Dr Ipyana performing new song in 2021. Sijawahi weza bila wewe simply means I have never made it without You, truly we cannot make it without Jesus.
Lyrics
Nahitaji neema yakoKushinda vita zote mbele yangu
Nahitaji neema yako
Kushinda vita zote mbele yangu
Sitawahi weza bila wewe Sijawahi weza bila wewe Yesu Sitawahi weza bila wewe Sijawahi weza bila wewe Yesu Sitawahi weza bila wewe