Dr Ipyana - Moyo wangu hauwezi kukusifu Lyrics

Moyo wangu hauwezi kukusifu Lyrics

Moyo wangu hauwezi My soulheart cannot
Kukusifu kweli Truly praise you
Ila sifa zangu hizi But here are my praises
Bwana zikubali 

Hata ndimi elfu 
Hazitoshi kamwe 
Kukusifu kweli 
Kwa mapendo yako 

Ametenda Amefanya He has done
Tena ametenda amefanya 

Haleluya Haleluya 
Haleluya Hale Haleluya


Moyo wangu hauwezi kukusifu

Dr Ipyana Songs

Related Songs