Peter Blessing - Banjuka Lyrics
Lyrics
Nah nah nah nah nah Hello uko wapi baba Naomba niskize mimi mwanao Mbele zako hapa naona niimbe
Wale walisema ridhiki saba Ila yangu kwa muumba Nashukuru Mola Unanipenda roho yangu waichunga
Mangapi ninapita njiani Hata usiku ikilala Daddy penzi lako la dhamani Uko nami kila mara
Nani mwingine mi nitoe wapi Shukurani eh, sina lingine jamani eeh Oooh baba yangu mi nabanjuka tu Unanipenda, mi nabanjuka tu Hutonitenda, mi nabanjuka tu Banju, banju, banjuka tu
Oooh baba yangu mi nabanjuka tu Unanipenda, mi nabanjuka tu Hutonitenda, mi nabanjuka tu Banju, banju, banjuka tu
Kusifu siku zote za kalenda Ni wajibu wangu sikani Nikitafakari yale yote umetenda Wakulinganisha sidhani
Ulonipendaga zamani Ukawa ngao yangu vitani Kiongozi wangu maishani Ulinifia msalabani
Lipi niseme, moyo wangu ujenge Na wagonjwa waponye waeneze injili iende Lipi niseme, moyo wangu ujenge Na wagonjwa waponye waeneze injili iende
Nani mwingine mi nitoe wapi Shukurani eh, sina lingine jamani eeh Oooh baba yangu mi nabanjuka tu Unanipenda, mi nabanjuka tu Hutonitenda, mi nabanjuka tu Banju, banju, banjuka tu
Oooh baba yangu mi nabanjuka tu Unanipenda, mi nabanjuka tu Hutonitenda, mi nabanjuka tu Banju, banju, banjuka tu
Video
Peter Blessing-Banjuka (Official Video) SMS Skiza 5960963 to 811 to get this Song as your Skiza Tune