Sifa Lyrics

Fantastic by Peter Blessing cover art

Peter Blessing - Fantastic Lyrics

Artist:
Peter Blessing

Lyrics

Tazama kukinyesha kunanyesha kwote
Hakujawai baki baki
Na kama mwanga wa angaza kote
Sio kwingine kuna taki


Kukuacha mimi kama ndoto 
Fadhili zako za milele 
Ulinipenda ningali mtoto
Matendo yako yashangaza wewe


Wewe kwangu kama dawa 
Nitakuimbia kama kawa
Injili siionei haya
Jukumu langu sitagwaya


You are fantastic, you are fantastic
Unanipenda bure, fantastic
You are fantastic
Nasema You, fantastic, you are fantastic
Unanipenda bure, fantastic
You are fantastic


Kazi yako extra odinare
Mapenzi yako kwangu ni attractive
Matendo yako yanifanya nitafakari
Hivi wanijua toka tumboni


Uliniokota nikiwa chini
You are fantastic
Ukanifanya kuwa mimi
You are fantastic


Lord, Lord Lord nashangaa wanipa more more more
More love
Lord, Lord Lord nashangaa wanipa more more more
More love


Wewe kwangu kama dawa 
Nitakuimbia kama kawa
Injili siionei haya
Jukumu langu sitagwaya


You are fantastic, you are fantastic
Unanipenda bure, fantastic
You are fantastic
Nasema You, fantastic, you are fantastic
Unanipenda bure, fantastic
You are fantastic


You are fantastic, you are fantastic
Unanipenda bure, fantastic
You are fantastic
Nasema You, fantastic, you are fantastic
Unanipenda bure, fantastic
You are fantastic


Video