Ringtone - Wacha Iwe - Basi Wacha Sasa Iwe Lyrics
Lyrics
Ringtone: Kisha shida kwako muwezi pika Chunga shida kwako muwezi lala Hayo yote ushuhuda, Mungu anakutengenezea, mwisho ushinde, Mambo unapitia,yanakufanya uzimie, yanakufanya we ulie,unajiuliza ako wapi? huyu Mungu ,wamuita kila siku huyu Mungu,mi najua anasikia. huyu Mungu anakupenda wewe sana,
Ila bado,mbingu usikia, tena bado mbingu itajibu, Ila bado mbingu uelewa, tena bado mbingu itajibu,
Basi wacha sasa iwe, vile Mungu anataka iwe, Mapenzi yake yawe, vile anataka yawe,
Gloria kuna wakati,mbingu unyamaza kimya, kuna wakati,Mungu unyamaza kimya, unaita ni kama husikiki, unabisha,wala hufunguliwi, unauliza maswali wala hujibiwi, ila bado,mbingu husikia, tena bado mbingu itajibu, ila bado mbingu huelewa, tena bado mbingu itajibu,
Basi wacha sasa iwe, vile Mungu anataka iwe, Mapenzi yake yawe, vile anataka yawe
Basi wacha sasa iwe, vile Mungu anataka iwe, Mapenzi yake yawe, vile anataka yawe
Ringtone: Ukimemuita Mungu we hajafika, Umemlilia Mungu we,akuhurumie, umepigwa hadi ukaenda chini, hauwezi inuka,unaonewa sana na kukanyagiwa, umefika mwisho we eeh
Gloria: Sasa surrender, Mungu yuko nawe,tena karibu sana dada we, acha vita upiganiwe,acha mizigo ubebewe, siku yako itafika,basi wacha iwe,
Basi wacha sasa iwe, vile Mungu anataka iwe, mapenzi yake yawe, vile anataka yawe,
basi wacha sasa iwe, vile Mungu anataka iwe, mapenzi yake yawe, vile anataka yawe,
Video
Ringtone x Gloria Muliro - Wacha Iwe (Official Video)(Sms SKIZA 7398481 to 811)