Ringtone - Yesu Ang'are Lyrics

Yesu Ang'are Lyrics

Wacha Yesu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe
Wacha Yesu wetu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe

Nilianza Mombasani, Mtaani
Niliambiwa haiwezekani kufika kileleni
Nikakutana na Yesu nikiwa sina kwetu
Akanipa nafasi na kunibariki kwa mwendo wa kasi

Sasa sina worry, Yesu ametoa 
Hata kama ni mngori, Yesu ametawa
Ana fimbo kwa mgongo, miguu kwa udongo
Umewapiga visogo, walionena uongo
Kabadilisha mipango, amefungua milango

Wacha Yesu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe
Wacha Yesu wetu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe

Walinishusha umenipandisha
Walinidharau Rose, ukaniinua
Wengine walinibeza ukaniheshimisha
Ukaniketisha pamoja na wakuu
Mimi ninameremeta ninang'ara ng'ara
Wacheni ning'are hee 

Ana fimbo kwa mgongo, miguu kwa udongo
Umewapiga visogo, walionena uongo
Kabadilisha mipango, amefungua milango

Wacha Yesu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe
Wacha Yesu wetu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe

Walituondokea ukatukujia 
Walitukataa ukatukubali
Walituondokea ukatukujia 
Walitukataa ukatukubali

Yesu ndiye bazu, ametufanya mabazuu
Yesu ndiye bazu, ametufanya mabazuu

Anatupigania, anatushindia
Anatufurahisha, tunashinda ya dunia
Yesu anatutosha, kwake tunafurahia

Ana fimbo kwa mgongo, miguu kwa udongo
Umewapiga visogo, walionena uongo
Kabadilisha mipango, amefungua milango

Wacha Yesu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe
Wacha Yesu wetu ang'are, Yesu ang'are
Wacha jina lake litambe eh, jina litambe

Yesu Ang'are Video

Ringtone Songs

Related Songs