Sifa Lyrics

Acheni Mungu Aitwe by Nadia Mukami cover art

Nadia Mukami - Acheni Mungu Aitwe Lyrics

Artist:
Nadia Mukami

Lyrics

Hallelujah, yeah
Halle, hallelujah


Bwana ni mchungaji wangu
Sitakumbukiwa na kitu chochote
Unilazae Kwenye majani mabichi
Uniongozae kwa njia za haki


Nipitiapo kati ya mauti
Sitaogopa wewe una mi
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesa wangu


Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
(Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
He! he!he! Yote ni yako
He! he!he! Yote ni yako)


Nimepita kati ya Milima na mabonde
Umesema wewe hutaniacha
Ata wanitukane waniseme,
Utabaki Kuwa milele Mungu wa wanyonge
Waliowachwa waliotengwa unawapiga miyo
Utabaki kuwa milele Mungu wa wanyonge


Nipitiapo kati ya mauti
Sitaogopa wewe una mi
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesa wangu


Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
(Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
He! he!he! Yote ni yako
He! he!he! Yote ni yako)


(Yelelelyelee he! Yote ni yako)


Video