Nadia Mukami - Zungushie Lyrics

Lyrics

Nadia , Maua sama (Teddy B)

Unaipenda wapi sakafu ama juu kwa juu Nikupe wapi mvunguni ama mtapanda juu Walahi leo mpaka kilele (Mpaka kilele) Nitampa nani kama si yeye (Kama si yeye?)

Nimekuwa na mgonjwa  Njoo kwangu nikupe dawa Mganga toka Sumbawanga Natibu mapenzi ndo mimi hapa

Jamani nimzungushie (Nimzungushie) Nataka nimzungushie (Nimzungushie) Jamani nimzungushie (Nimzungushie) Nataka nimzungushie (Nimzungushie)

Yaani mautamu  Yangu vinono anajinoma kwa mahaba Mwalimu nampaga somo ndani Mambo si haba

Amenipitisha, kanitikisa Akinipa mwiba si nahama Akinitouch na najimaliza Kanifunga sitoki kwa mahaba

Kwa ubani nimzungushie Yaani hata nazi mi nimvunjie Nataka nimzungushie Bigati the gati de nimzungushie

Jamani nimzungushie (Nimzungushie) Nataka nimzungushie (Nimzungushie) Jamani nimzungushie (Nimzungushie) Nataka nimzungushie (Nimzungushie)

Changanya kama karanga  Huyu ashafanikiwa Ananifuata kama kuku  Kifaranga nimechanganyikiwa

Yaani kama unipeleke nyumbani Unipe mapenzi sham sham Mauno bila mifupa Chumbani nikimnegua hadi tam tam yeah

Jamani nimzungushie (Nimzungushie) Nataka nimzungushie (Nimzungushie) Jamani nimzungushie (Nimzungushie) Nataka nimzungushie (Nimzungushie)

Video

Zungushie

Thumbnail for Zungushie video
Loading...
In Queue
View Lyrics