Mamajusi Choir

Naona Fahari Kutembea Na Yesu Lyrics

uweponi mwako Mungu wangu 
Naona fahari kuwa 
uweponi mwako Mungu wangu 
Naona fahari kuwa 
Ninapotembea na wewe Yesu 
Naona fahari kuwa . .

Naona fahari, fahari 
Naona fahari, fahari 
Kutembea na Yesu x2 
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah . .

Wengine fahari ni majengo kuu 
Na wengine fahari yao ni majumba 
Wengine fahari yao masengenyo 
Na wengine fahari yao ni uchawi 
Lakini mimi fahari yangu ni Yesu 
Aliyenifia kalivari mimi 
Jamani mimi fahari yangu ni Yesu 
Aliyenifia kalivari . .

Naona fahari, fahari 
Naona fahari, fahari 
Kutembea na Yesu x2 
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah . .

Kama si wewe Yesu wangu 
Ningekuwa wapi mimi maisha yangu 
Kama si wewe Yesu 
Huruma yako kalivari 
Ningekuwa wapi leo? 
Ulinipenda nikiwa sifai 
Katika ya jamii lakini Yesu ukanikumbatia 
Wanadamu waliponidharau, 
Mama yangu Baba yangu wewe ukanikumbatia . .

Naona fahari, fahari 
Naona fahari, fahari 
Kutembea na Yesu x2 
Pekee yangu siwezi, siwezi 
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah . .

Huruma yako juu yangu, kila ninapotafakari 
Naishiwa maneno, wewe ni Mungu wa ajabu 
Mtetezi wa ajabu kwangu, nikupe nini? . .

Naona fahari, fahari 
Naona fahari, fahari 
Kutembea na Yesu x2 
Pekee yangu siwezi, siwezi 
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah .


Naona Fahari Kutembea Na Yesu Video