Relax

Relax Lyrics

kurelax kurelax wee
Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika 
Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika  .

Nani apinge? alichosema Mungu 
Nani alaani? alichobariki Mungu 
Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu 
Na kama kuna pando, lopandwa na mwovu, Nangoa mi nangoa, 
liloandikwa kwa hila, nafuta mi nafuta 
Imeandikwa ntakuwa kichwa si mkia wa kwanza si wa mwisho  .

Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika 
Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika  .

Mi na relax narelax ooh 
Mwenyewe amesema, Mi na relax narelax ooh 
Atanipa utajiri wake, Mi na relax narelax ooh 
Atanalisha kama ndege anagani, na relax narelax ooh 
Atanipamba kama ua kondeni, Mi na relax narelax ooh 
Yesu akisema atafanya ooh, Mi na relax narelax ooh 
Neno lake ni amina na kweli, Mi na relax narelax ooh  .

Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake 
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa sukwa hata kumwagika 
Nangoja atimize, Mi na relax narelax ooh 
Eeeh ooh Mi na relax narelax ooh 
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadiri ya utajiri wake 

Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Relax:

2 Comments/Reviews

  • Aloyce Wilbert

    nakubal xana nymbo zakn 3 months ago

  • Tulizo Kweya

    Wimbo bora, unaujumbe mzuri 9 months ago