Christina Shusho - Akutendee Nini Lyrics
Lyrics
Wataka akutendee nini? Akutendee nini wewe, Wataka akutende nini? Akutende nini wewe,
"Neno moja nalitaka kwa Bwana nalo ni hili
nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu"
Gala lake limejaa hakuna anayepunguza hata robo
Akutende nini wewe?
Wengine wataka kuwa raisi wa nchi
Wengine wataka ubunge
Akutendee nini wewe?
Mwengine ombi lake apate shamba
Huyu mume na huyu mke
Wataka akutendee nini wewe?
Mama huyu ombi lake apte mtoto
Mwengine apate elimu
Wataka akutende nini wewe?
Wataka akutendee nini? Akutendee nini wewe, Wataka akutende nini? Akutende nini wewe,
Nakumbuka mgonjwa birikani miaka thelathini na nane alikuwa hajiwezi yeye Yesu akatetembelea birika lile Akamwona mgonjwa yule Mara akaanza sababu zake "Malaika akifika akitubua maji mimi huwa wa mwisho" Yesu akasema neno moja jitwike godoro lako na uende Mara akawa mzima mzima
Wataka akutendee nini? Akutendee nini wewe, Wataka akutende nini? Akutende nini wewe,
Video
Christina Shusho - Akutendee Nini (Official Video) SMS [Skiza 7391639] to 811