Wa Kuabudiwa

Wakuabudiwa, wakuheshimiwa ni wewe mungu
Wakupewa sifa, na utukufu ni wewe mungu
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote
Hakuna mwingine, wakulinganishwa na wewe mungu (rudia)

Umesema wewe, jina lako liko na liko niwe mungu
Unafanya mambo, yaliyo juu ya fahamu zetu mungu
Ukisema ndio, nani awezaye kupinga hakuna
Wewe unatupa, kushinda na zaidi ya kushinda
Unatupandisha,utukufu hadi utukufu mungu (rudia)

Uzima wetu, uko mikononi mwako mungu
Unawapa nguvu, wanyonge na wadhaifu mungu
Unawanyeshea mvua wema nao waovu mungu
Mwanadamu nani, wakulinganishwa na wewe mungu
Nani mwenye nguvu, wa kusimama mbele yako mungu (rudia)Share:

Write a review of Wa Kuabudiwa :

0 Comments/Reviews

Christina Shusho

@christina-shusho

Bio

View all songs, albums & biography of Christina Shusho

View Profile

Bible Verses for Wa Kuabudiwa

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music