Pamoja Tutashinda Lyrics

Evelyn Wanjiru Pitson sifa

Nimeosha mkono osha yako
Nimeosha mkono osha yako
Ikiwezekena fanyia kazi kwako
Ikiwezekena fanyia kazi kwako 
Ata mungu muabudiye kwako
Ata mungu muabudiye kwako
Yuko kila pahali
Atakusikia
Ombea wale imesha fika kwao
Ombea wale imesha fika kwao
Kwa huruma zake Mungu ashinde kifo
Kwa huruma zake Mungu ashinde kifo
Nawe jizuiye nawe jizuie
Isikushike 
Ni kwa muda tu tutashinda 
  .

Tuko pamoja hata kama hatuwezi gusana
Roho moja hata kama hutuwezi patana
Tushirikiana gawia kidogo yule hana
Adui ni mmoja tutamshinda
Tukiwa pamoja tutashinda
Adui corona tutakushinda .

Tufuate amri za serilali 
Tufuate amri za serilali 
Tujiepushe na umati wa watu
Tujiepushe na umati wa watu
Tuweke kati yetu nafasi
Tuweke kati yetu nafasi
Tusisambaze virusi
ikiwezekana ata tusisafiri
ikiwezekana ata tusisafiri
tusiwaweke wengine kwa hatari 
tusiwaweke wengine kwa hatari 
tujizuie tujizuie
tusiambukizwe
ooh ni kwa muda tu 
tutashinda .

Tuko pamoja hata kama hatuwezi gusana
Roho moja hata kama hutuwezi patana
Tushirikiana gawia kidogo yule hana
Adui ni mmoja tutamshinda
Tukiwa pamoja tutashinda
Adui corona tutakushinda .

Sisi wanadamu wavumilivu 
aaaaaa
Tukiwa pamoja tuna nguvu
Tumuombe Mola aturehemu
aaaaaa
Haya yatapita tu uuuu .

Tuko pamoja hata kama hatuwezi gusana
Roho moja hata kama hutuwezi patana
Tushirikiana gawia kidogo yule hana
Adui ni mmoja tutamshinda
Tukiwa pamoja tutashinda
Adui corona tutakushinda .Pamoja Tutashinda Video