Sarah K - Sio Mimi Lyrics

Sio Mimi Lyrics

SIO MIMI NINAYE ISHI NI YESU NDANI YANGU×2
(ITS NO LONGER I LIVETH BUT CHRIST INSIDE OF ME×2)
.... SI MIMI SIO MIMI YESU NDANI YANGU×2
(HE LIVETH HE LIVETH CHRIST INSIDE OF ME ×2)



Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai; wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu; na uhai nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya Mwana wa Mungu, ambaye alinipenda, akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu. Wagalatia 2:20

I have been crucified with Christ, and it is no longer I that live, but Christ living in me. That life which I now live in the flesh, I live by faith in the Son of God, who loved me, and gave himself up for me. Galatians 2:20


Sio Mimi Video

Sarah K Songs

Related Songs