Sifa Lyrics

Afrika yote yakusifu (Africa Praises God) by Pst Pat cover art

Pst Pat - Afrika yote yakusifu (Africa Praises God) Lyrics

Artist:
Pst Pat

Lyrics

Afrika, ni wakati wako
Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Wasomali na Wakongo
Warwanda na Waganda


Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Wanaijeria, Zimbabwe
Na Liberia, Wamoroko


Kwa makofi, na nderemo
Kwa Kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa Kucheza, na shangwe


Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Wakikuyu, na Wakamba
Wajaluo, na Waluhya
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Wamasai, Wameru
Wapokomo, Mijikenda


Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Madagascar, Afrika Kusini
Senegali, Namibia
Afrika yote yakusifu
Afrika yote yakusifu
Tanzania, Burundi
Angola, Komoro


Kwa makofi, na nderemo
Kwa Kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa Kucheza, na shangwe


Kwa makofi, na nderemo
Kwa Kucheza, na shangwe
Kwa makofi, na nderemo
Kwa Kucheza, na shangwe


Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Kikuyu, Kikamba
Kijaluo, Kimasai


Praise him with Nyatiti
Praise him with Kayamba
Praise him with Watete


Praise him with Nyatiti
Praise him with Kayamba
Praise him with Watete


AFRICA PRAISES YOU (GOD)


Video