BWANA Lyrics - J4JR CREATIONS
J4JR CREATIONS swahili
Buy/Download AudioBWANA Lyrics
Itakua kuwa furahaa
kule juu mbinguni
tukiimba Hossana na Bwana
Hallelujah
Tutakutana nao
wote walotangulia
kisha sote tutaimba Hossana,Hallelujah
Itakua kuwa furahaa
kule juu mbinguni
tukiimba Hossana na Bwana
Hallelujah
Tutakutana nao
wote walotangulia
kisha sote tutaimba Hossana,Hallelujah
Imba imba imba Hossana na Bwana
hallelujah
Imbaa hallelujah
nyimbo za sifa tutamuimbia Bwana
uhimidiwe Mungu wa miungu
upewe sifa Bwana wa Mabwana
siku zote tutakusifu
siku zote tutakusifu
nyimbo za sifa tutamuimbia Bwana
uhimidiwe Mungu wa miungu
upewe sifa Bwana wa Mabwana
siku zote tutakusifu
siku zote tutakusifu
nyimbo za sifa tutamuimbia Bwana
uhimidiwe Mungu wa miungu
upewe sifa Bwana wa Mabwana
siku zote tutakusifu
siku zote tutakusifu
Itakua kuwa furahaa
kule juu mbinguni
tukiimba Hossana na Bwana
Hallelujah
Tutakutana nao
wote walotangulia
kisha sote tutaimba Hossana,Hallelujah
Itakua kuwa furahaa
kule juu mbinguni
tukiimba Hossana na Bwana
Hallelujah
Tutakutana nao
wote walotangulia
kisha sote tutaimba Hossana,Hallelujah
Imba imba imba Hossana na Bwana
hallelujah