Sifa Lyrics

KESHO YANGU by Doreen Otipo cover art

Doreen Otipo - KESHO YANGU Lyrics

Artist:
Doreen Otipo

Lyrics

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Leo naweza kuwa chini sidhaminiwi
Naweza kuwa sina kitu hata cha kukufaa
Lakini Kesho yangu ni Mungu anajua eeh

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Leo hata sina nyumba ninapangisha
Hata mali leo sina naomba omba
Lakini kesho yangu ni Mungu anjajua eeh

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Naweza kuwa sina Gari wanipigia vumbi
Hata mavazi leo sina ni matambara
Lakini kesho yangu ni Mungu anajua eeh

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Usionione jirani eeh, Usinichukie eeh
Usinidharau Jirani, eti kwamba ni mnyonge
Maana kesho yangu ni Mungu anajua eeh

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Usinipime kwa leo maana ninakesho
Usinione kwa leo nina kesho
Usiniweke kwa mizani maana nina kesho
Iyo kesho yangu ni Mungu anajua eeh

Usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo
Kwani kesho yangu ni Mungu anajua

Ni Mungu anajua eeh Tumwachie eeh

Video