Sifa Lyrics

Jehovah Mungu Umeinuliwa by Doreen Otipo cover art

Doreen Otipo - Jehovah Mungu Umeinuliwa Lyrics

Artist:
Doreen Otipo

Lyrics

Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe


Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe


Wewe mfalme wa wafalme
Hakuna Mungu wa kufanana nawewe


Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe


Ukianzisha jambo unamaliza
Hakuna Mungu wakufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe


Miungu ni vinyago* tu
Hakuna mwingine wa kufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Miungu mingine kazi ya wanadamu
Hakuna mwingine wa kufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe


kwa wenye shida umeinuliwa
Hakuna tena wakufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Upendo wako ni wa milele
Hakuna tena wakufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe


Wewe huwainua walio wanyonge
Hata kuwaketisha pamoja na wafalme
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Wewe ni Mungu tena wa milele
Hakuna tena wa kufanana nawewe


Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa


Video