Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana Lyrics - Godwin Ombeni
Godwin Ombeni swahili
Chorus:
Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa
Twakubudu Bwana wastahili
Twakupa utukufu
Twakubudu Bwana wastahili sifa
Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana Video
Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana Lyrics
Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa
Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa
Twakupa utukufu twakubudu pekee
Wastahili sifa
Wewe ni mwanzo
Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa
Twakupa utukufu
Twakubudu Bwana wastahili
Twakupa utukufu
Twakubudu Bwana wastahili sifa
(Twakupa heshima zote)
Twakubudu Bwana wastahili sifa
Heshima zote (heshima zote)
Sifa zote (Sifa zote)
Twakubudu Bwana wastahili sifa