Godwin Ombeni - Wewe ni Mungu Wetu Lyrics

Wewe ni Mungu Wetu Lyrics

Wewe ni Mungu wetu 
Ni Mungu unayeweza 
Wewe ni Mungu wetu 
Ni Mungu unayeweza  .

Unaweza unaweza, Unaweza Yesu 
Unaweza unaweza Bwana 
Unaweza unaweza, Unaweza Yesu 
Unaweza unaweza Bwana  .

Wewe ni Mungu wetu 
Ni Mungu unayeweza 
(unaweza kuponya)
Wewe ni Mungu wetu 
Ni Mungu unayeweza 
(Unaweza kuuisha) 
Wewe ni Mungu wetu 
Ni Mungu unayeweza  .

Unaweza unaweza, Unaweza Yesu 
Unaweza unaweza Bwana 
Unaweza unaweza, Unaweza Yesu 
Unaweza unaweza Bwana 
... .



Wewe ni Mungu Wetu Video

Godwin Ombeni Songs

Related Songs