Sifa Lyrics

Jina Langu by Godwin Ombeni cover art

Godwin Ombeni - Jina Langu Lyrics

Artist:
Godwin Ombeni

Lyrics

(Nikawaona Wafu wakubwa kwa wadogo wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi Na vitabu vikafungululiwa,na kitabu kingine kikafunguliwa ambacho ni cha uzima,na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliliyoandikwa katika vile Vitabu sawasawa na matendo yao.Na iwapo mtu yeyote hakuonekana aeandikwa katika Kitabu cha Uzima,alitupwa katika ziwa la Moto)


Jina langu liko kule(Rudia) Mbinguni


Najua liko kule(x3) Mbinguni


 


Kwa maana jinsi hii Mungu alitupenda 


Hata akamntoa Mwanawee


Kila amwaminiye asije kupotea bali awe na uzima milele


Nimemkiri Yesu kuwa ni Bwana wangu 


Nakuamini Moyoni mwangu,ya kuwa Mungu Baba alimfufua Yesu na sasa yuko hai milele


Jina langu liko kule(Rudia) Mbinguni


Najua liko kule(Rudia) Mbinguni


Video