Sifa Lyrics

Kwa Mji Wa Mwangaza by Godwin Ombeni cover art

Godwin Ombeni - Kwa Mji Wa Mwangaza Lyrics

Artist:
Godwin Ombeni

Lyrics

Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, 


hautapita tena, hapana usiku 


Mungu atayafuta machozi na hasara hapo 


miaka itakoma hapana usiku 2


Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru


na taa yake ni mwana kondoo..


Jua halitakiwi hapana usiku ...


Yesu ndiye nuru kweli hapana usiku uuuh... 


Mungu atayafuta machozi na hasara 


hapo miaka itakoma hapana usiku 


kwa mji wa mbinguni


hapana usiku,


Milele furahini, hapana usiku


 


 Mungu atayafuta machozi na hasara, 


 hapo miaka itakoma hapana usiku (x3)


Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, 


hautapita tena, hapana usiku


Video