NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe

Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe

Ufanye moyo wangu uwe wa kukuabudu baba yangu.
Yafanye maisha yangu yawe ya kukusifu wewe
Maana pweke wastahili heshima na utukufu mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Peke yako wastahili heshima na utukufu mwenye nguuvu na heshima ni wewe.

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Nilizaliwa mimi kwa neeema yako, niliumbwa baba kwa mfano wako.
Yanipasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni weweShare:
5 Comments

Maoni kuhusu wimbo: NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

Comments / Song Reviews

Eunice Nduku Kiilu I lke de song it bless m so murch 1 month ago
Sifa Admin Tugume it is Swahili or Kiswahili, am glad you are loving the songs 7 months ago
Tugume Saverino I like Gospel shwahili 8 months ago
DOTTO SONDA LYANG'OMBE KUSIFU KUNAWAPASA WANYOFU WA MOYO-WIMBO HUU UNABARIKI SANA,HIVYO MUNGU AWABARIKI WATUNZI NA WAIMBAJI WOTE.
9 months ago
Lokuruka Jonah Namulen May God uplift and bless Tumaini worship team abundantly. 9 months ago

Share your understanding & meaning of this song

Tumaini

@tumaini

Bio

View all songs, albums & biography of Tumaini

View Profile

Bible Verses for NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links