Sifa Lyrics

Hakuna Kama Wewe by Tafes Aru cover art

Tafes Aru - Hakuna Kama Wewe Lyrics

Artist:
Tafes Aru

Lyrics

Hallelujah, hallelujah
Ongeza makofi kwa ajili ya Bwana
Wapi watoto wa Mungu wakimsifu yeye
Ni yeye aliye bwana mkuu
Ni yeye Bwana anafanya mambo ambayo
Kwa akili zetu hatuwezi
Ni yeye mfalme aha
Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana)

Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana)
Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana)
Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)

Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana)
Nauliza ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana)
Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana)
Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)
Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana)
Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana)
Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana)
Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)

Hakuna kama wewe, umetukuka milele

Kwa neno lake aliiachilia nchi (Bwana)
Ni nani huyu Mungu nguvu (Bwana)

Ni nani mfalme huyu mwenye uweza (Bwana)
Ni nani mfalme huyu mwenye nguvu (Bwana)
Ni nani bwana huyu mwenye uweza (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza mbingu (Bwana)
Kwa neno lake aliitangaza nchi (Bwana)

Hakuna kama wewe, umetukuka milele
Hakuna kama wewe, umetukuka milele
Hakuna kama wewe, umetukuka milele
Hakuna kama wewe, umetukuka milele
Bwana Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe, hakuna kama wewe
Bwana Hakuna kama wewe

Video