Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Sitaabudu miungu mingine iliyo na mifano yeyote
Sitapiga magoti yangu nisujudu
Nitakusanya sadaka zangu ziwe manukato
Kwa Yesu, Astahili Sifa ( x2)

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na Mamlaka zipokee
Mtakatifu Matakatifu
Nakuita Mtakatifu
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

Pokea Sifa
Na utukufu,
Na Heshima
Bwana
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na Mamlaka zipokee
Mtakatifu Matakatifu
Nakuita Mtakatifu
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na Mamlaka zipokee
Mtakatifu Matakatifu
Nakuita Mtakatifu
Oh Yesu, Wewe Mtakatifu

@ Frank Njuguna - Mtakatifu
(Offering of praises)

Share:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Frank Njuguna

@frank-njuguna

Bio

Profile bio not available. Go to Artists Page to add bio & Links

Bible Verses for Mtakatifu - Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Psalms 50 : 14

Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye juu nadhiri zako.

Hebrews 13 : 15

Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamayo jina lake.

Sifa Lyrics

Social Links