Hossana Hosanna Uliye Juu Lyrics - Frank Njuguna
Frank Njuguna swahili
Hossana Hosanna Uliye Juu Lyrics
Oooh Tunakuabudu Bwana tukisema unatosha
Tunakuabudu Bwana tukisema unatosha
Tunakuinua Bwana tukisema unatosha
Tunakutuza Bwana tukisema unatosha
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unatosha
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unatosha
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unatosha
Tunakutuza Bwana tukisema unaponya
Tunakuinua Yesu, Tunakutuza Bwana tukisema unaokoa
Tunakutukuza Yahweh, Tunakutuza Bwana tukisema unaweza
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unatosha
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unaokoa
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unainua
Hosanna Hosanna uliye juu
Mwanakondoo wa Mungu unaweza
Tuna mavujo* na zaidi ya mawazo