Frank Njuguna - Unajibu Kwa Moto Lyrics

Lyrics

Unatenda maajabu, unatenda yasiyowezekana 
Unatenda miujiza iliyo juu ya fahamu zetu 
Kwa hili jina la Yesu, kwa hili jina la Yesu 
Kwa hili jina unajibu kwa moto . .

ooooo ooooo 
Mfalme mkuu Mungu mwenye nguvu 
Mweza yote haulinganishwi 
Mfalme mkuu Mungu mwenye nguvu 
Mweza yote haulinganishwi . .

Unatenda maajabu, unatenda yasiyowezekana 
Unatenda miujiza iliyo juu ya fahamu zetu 
Kwa hili jina la Yesu, kwa hili jina la Yesu 
Kwa hili jina unajibu kwa moto . .

ooooo ooooo 
Kwa hili jina la Yesu, kwa hili jina la Yesu 
Kwa hili jina unajibu kwa moto . .

Umetenda maajabu ninalisifu jina lako 
Ninalisifu jina lako 
Unatenda maajabu, unatenda yasiyowezekana 
Unatenda miujiza iliyo juu ya fahamu zetu 
Kwa hili jina la Yesu, kwa hili jina la Yesu 
Kwa hili jina unajibu kwa moto 

Video

UNAJIBU KWA MOTO

Thumbnail for Unajibu Kwa Moto  video
Loading...
In Queue
View Lyrics