Njia Ya Kweli

Njia Ya Kweli Lyrics

Njia Ya Kweli 
Utukufu na sifa nizako 
Mungu wa miujiza mfalme wa majira yote 
Njia ya kweli na uzima ni wewe  .

Utukufu na sifa ni zako 
Mungu wa miujiza mfalme wa majira yote 
Njia ya kweli na uzima ni wewe  .

Wewe pekee njia ya ukweli 
Wewe pekee njia ya uzima 
Jemedari wa vita ukashinda kifo 
Jemedari wa vita kasema yote yamekwisha  .

Wewe pekee njia ya ukweli 
Wewe pekee njia ya uzima 
Jemedari wa vita ukashinda kifo 
Jemedari wa vita kasema yote yamekwisha  .

Niko huru 
Yesu nakwamini nimekuona thabiti 
Yesu Yesu uthamani ahadi zako kweli x2
Kweli .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Njia Ya Kweli:

1 Comments/Reviews

  • FrankyGeorges

    Very uplifting 11 months ago