Lavender Obuya - Amelipa Deni Yangu Lyrics

Lyrics

Baruch Adonai ewe Mungu Baba Baruch Adonai Mungu wa baraka Baruch Adonai Mungu wa agano

Uliyonitendea sitaweza sahau Uliyonitendea nitasimulia mataifa Mwanadamu hajui jinsi unavyonidhamini Baba ulinipenda kabla sijakujua wewe

Ukamtoa mwanawe Yesu awe kafara Bwana Yesu ukachinjwa ili mimi niishi Upendo wako kwetu mimi sitaweza sahau Upendo wako Baba umezidi ule wa mama

Baruch Adonai, eeh Baruch Adonai Wewe ni Mungu Baba umelipa

Umelipa deni yangu baba umelipa Deni ya laana zangu Umelipa deni yangu baba umelipa Deni ya mateso Umelipa deni yangu baba umelipa

Yesu wa Masia Yesu wa Masia Yesu wa Masia

Mimi nina sababu ya kukusifu ee Bwana Mimi nina sababu ya kukusifu aah Masia Kila ulimi ukiri kwamba Yesu ni Bwana Kila goti na lipigwe mbele zako Masia

Katikati ya wezi ulikufa kwa niaba yetu Deni ye Edeni we baba ulibeba kwa ajili yetu Kifo cha aibu ukafa, ulikufa kwa ajili yetu Tulifaa kudharauliwa, uliteswa kwa ajili yetu Tulifaa kutwmwa mate ulitendwa kwa ajili yetu

Ah masia ooh Yesu wa Adonai wewe ni Mungu Yesu umelipa Baba

Umelipa deni yangu baba umelipa Kweli umelipa Yesu Umelipa deni yangu baba umelipa Deni ya makosa yangu Umelipa deni yangu baba umelipa Deni ya mizigo yote Umelipa deni yangu baba umelipa Uliyetundikwa pale Calvary Umelipa deni yangu baba umelipa Baba wewe ulisema yote yamekwisha Umelipa deni yangu baba umelipa Mimi kamwe sidaiwi tena Umelipa deni yangu baba umelipa Gharama ya mauti Umelipa deni yangu baba umelipa Gharama ya dhambi zangu zote Umelipa deni yangu baba umelipa Wewe umelipa wewe Bwana Umelipa deni yangu baba umelipa Yesu amelipa yote Umelipa deni yangu baba umelipa Yesu amelipa yote Umelipa deni yangu baba umelipa Amelipa Yesu, Amelipa Baba

 

Video

Lavender Obuya - Amelipa Deni Yangu (SKIZA 5431090) SEND TO 811

Thumbnail for Amelipa Deni Yangu video
Loading...
In Queue
View Lyrics