Lyrics
Chorus
Sema nami, sema nami
Sema na mimi, sema na moyo wangu
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Verse 1
Ulikuwepo toka mwanzo
Ulitangaza nchi juu ya maji
We wajua nisioyajua
Baba sema na moyo wangu
We wajua kuishi kwangu
Waelewa njia zangu
Nitendalo kwa siri wajua
Naomba nena na moyo wangu
Chorus
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Verse 2
Chunguza nafsi yangu Bwana
Weka wazi makosa yangu
Ninataka kutubu Bwana, natamani kukaa nawewe
Usinifiche uso wako, sina mwingine wa kukimbilia
Mungu sema na mimi, sema na moyo wangu
Chorus
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Verse 3
Halleluya aah Weee, sema na moyo wangu Bwana
Moyo wangu wakutamani, natamani roho wako
Natamani mguzo wako, naomba nena na moyo wangu
Nibadilishe nikufanane Mungu ninaomba
Usinipite Bwana, Yesu sema na moyo wangu
Chorus
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na moyo wangu
Credits & Song Information
Video
Meaning & Inspiration
In this Swahili worship song, Lavender Obuya frames prayer as an intimate request for God to speak to her heart. The verses move from acknowledging God's knowledge and creative authority to confession, repentance, and a desire for spiritual renewal and Christlike character.