Ben Pol - Kidani Lyrics
Lyrics
I wish unipende, unichunge Nisiende kwengine Tena unifunge Unifumbe na macho nisione mwingine
Mmmh naheshimu maamuzi Hisia kuwa nawe Usinifanye nijutie Nionekane mpuzi dunia unishangae Penzi langu Nahifadhi mapenzi tuyafanye baadae
Penzi lako utamu wa asali, baby nipe Nikabidhi nipe kibali, kwa mbwembwe ni tamu Penzi tamu asali, ooh baby nipe Nikabidhi nipe kibali
Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala
Unajua we ndo dawa Mwenzako nikiugua Kukukosa nachachawa Bila shaka unajua
Tena kwako mimi si chochote Sisikii sioni, sijiwezi kwa lolote Maneno ya nje tusije yapa mwanya Oooh my love, fikisha kipimo usijeyagawanya Oooh my love, heshima upendo na kudhaminiana Oooh my love, tufike malengo tukishirikiana
Penzi lako utamu wa asali, baby nipe Nikabidhi nipe kibali, kwa mbwembwe ni tamu Penzi tamu asali, ooh baby Nikabidhi nipe kibali
Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala Ukinipa kidani, nalala
Ooh ooh, nalala, nalala Nalala, nalala, nalala, nalala
Video
Ben Pol - KIDANI (Official Music Video)