Ben Pol - Why Lyrics

Album: Beautiful
Released: 02 May 2025
iTunes Amazon Music

Lyrics

Ndugu zangu napata malipo ya usariti Yakupendwa lakini nikawa sipendeki Sikujua machungu makali kiasi hiki Hii dozi inatibu vilivyi me sitaki Whoaaa amenifanya nawaza

Wangapi niliowatenda Kila nikikumbuka najiona mshamba Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha nastahili hayaa

Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili hayaa Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili hayaa

Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh Silali silali silali (fofofoo) Silali silali silali (fofofoo)

Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah) Nyingi zinajirudia (aaaaah) Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)

Mmmmh Malipo ni duniani Ahela kuhesabiwaa Me nipo bado lehanii Nimejitela mwana mkiwaa eeh Mmmh Zile heshima kuninyenyekea Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa) Eti mazima nikampotezea Nilivyo maliza tu shida zangu  (Hahaaa) Ukimuona mwambieni najiuguza najutia Tena najiona limbukeni Yamenifunza ya dunia

Yale machozi yasiyo na hatia Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh) Upweke najiinamia Nishatubu nisameehe

Why why why why why oooh Najiuliza kwa nini Why why why why why oooh Why why why why why oooh Why why why why why oooh Aaah mwenzenu silali Silali (eeh) silali (eeh) silali (fofofoo) Silali (eeh)silali (eeh) silali (fofofoo)

Ona hayaniishi mawazo (heheeeh) Penzi lake ndo chanzo(aaaaaah) Mmmh haaaaaah…

Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili hayaa

Sheddy Clever on the beat

Video

Ben Pol Feat Harmonize - Why (Official Music Video)

Thumbnail for Why video
Loading...
In Queue
View Lyrics