Sarah Magesa - Usinyamaze Lyrics

Lyrics

Oooooooh dunia Hiii Ooooooh dunia  Sikujua Kama dunia inaeza kunigeukia Sikujua Kama inaweza kunitoa machozi

Sikujua Kama dunia inaweza kuniliza Mume wangu nenda ananifukuza Eti Sina mtoto Leo niende wapi Nifanye Nini Ooooooh ooooooooh  Jifunze kumpenda Mungu  Wanadamu watakupenda wakati wa Raha

Wanadamu waneza Kukugeuka  Wewe endelea mbele  Atakukumbatia Baba Jitie nguvu twende  Usilie nyamaza  Wewe usilie nyamaza  Usilie nyamaza  Usilie wewe nyamaza  Mtetezi yupo nyamaza  Usilie wewe nyamaza  Usilie wewe nyamaza Mtetezi yupo nyamaza 

Hata majirani zangu wananicheka pia na ndugu zangu wananidharau Kila ninakopita  Wamenitungia methali  Mungu nimekuja kwako msaada wa Kweli  Leo nimekukimbilia Kimbilio wa Kweli Aliyewapa wengine atakupa na wewe rafiki Sijawai kumuona Mungu amemuacha wake kwa Nini asikutazame na wake endelea

Kwani wengine tumetenda lipi jema  Jitie nguvu tuende pamoja usirudi nyuma Watakuheshimu Siku moja Watamjua Mungu wako  Atageuza ndimi zao  Badala ya kunena watanena mema  Watamjua baba

Video

Sarah Magesa - Usinyamaze (Official Video HD)

Thumbnail for Usinyamaze video
Loading...
In Queue
View Lyrics