Sifa Lyrics

Wewe ni Mungu by Sarah Magesa cover art

Sarah Magesa - Wewe ni Mungu Lyrics

Artist:
Sarah Magesa

Lyrics

Chorus


Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami
Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami


Verse 1


Hawakujua kama ni Baba
Hawakujua kama wewe ni Baba
Hawakujua mimi ni mboni la jicho lako
Hawakujua nimechorwa viganjani mwako
Hawakujua ulipigwa kwa ajili yangu Baba
Hawakujua ulichibuliwa kwa ajili yangu
Hawakujua ulifanyika laana nifanyike baraka
Hawakujua ulidhihakiwa kwa ajili yangu
Hawakujua ulidhihakiwa ili niheshimiwe
Hawakujua ulipigwa kwa ajili yangu Yesu
Wafadhaishe hao warudishwe nyuma hao
Warudishwe nyuma yangu


Chorus


Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami
Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami


Verse 2


Wapenzi wa misiba wangu maadui wanichekelea
Wakati wa misiba yangu maadui walifurahi
Wakati wa kufiwa kwangu waliweka vikao vyao
Wakadhani Mungu wangu umeniacha
Wakadhani Mungu wangu umenisahau
Wakadhani Mungu wangu umenikimbia
Kumbe maneno yao yakafanya ukainuka
Masengenyo yao vikao vyao vikafanya uamke
Wacha niimbe wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami


Chorus


Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami
Wewe ni Mungu uliyenichagua
Naomba pigana nao wanaopigana nami


Video

Meaning & Inspiration

This Swahili song is a prayer for God to fight on the singer's behalf. The opening line, "Wewe ni Mungu uliyenichagua", addresses God as the one who chose the singer, and the request that follows asks Him to contend with those who contend against them.

The verses lean on the picture of Christ's suffering. Lines such as "Hawakujua ulipigwa kwa ajili yangu" and "Hawakujua ulifanyika laana nifanyike baraka" describe being struck, mocked and made a curse so that the singer might be blessed and honored, and the singer is named as the apple of God's eye, "nimechorwa viganjani mwako", engraved on His palms.

A later section describes enemies who laughed at the singer's loss and assumed God had left or forgotten, only for their words to stir God to rise. The song closes by returning to the refrain and the declaration that God is God.

Related Scripture

  • Psalm 35:1 The psalmist asks the Lord to contend with those who contend with him.
  • Isaiah 49:16 God says He has engraved His people on the palms of His hands.
  • Galatians 3:13 Paul writes that Christ became a curse to redeem believers from the curse.