Sarah Magesa - Nalifurahia Lyrics
Lyrics
Malaika mbinguni wanakuabudu Wazee ishirini na nne, wanakusujudu Na sisi duniani tunakuinua Malaika mbinguni wanakuabudu Wazee ishirini na nne, wanakusujudu Na sisi duniani tunakuinua
Tunasema ni wewe, ni wewe Yesu Ni wewe Bwana wa mabwana Tunasema ni wewe Mungu mwenye nguvu, ni wewe Jiwekuu la pembeni Tunasema ni wewe Nyokaya shaba ni wewe, ni wewe Nyota ya asubuhi ni wewe Tunasema ni wewe Niko ambaye niko ni wewe, ni wewe Na sema niwe, niwe, niwe, niwe ni wewe Wewe ni kweli, na kweli ni wewe Wewe ni ndiyo, na ndiyo ni wewe Wewe ni nuru, na nuru ni wewe Wewe ni mwanga,na mwanga ni wewe
Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kwa Baba yangu, hakuna korona Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kule kule kulen hakuna ukimwi Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kule kule, hakuna kisukari Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kule kule ni kusifu na kuubudu milele yote Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Nikifika kwa Baba, nitamiliki milele Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kule hakuna kukopa wala kukopesha Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kwa Baba hakuna kulia lia Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kwa Yesu ni furaha na shangwe Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Nalifurahia waliponiambia Kule ni kusifu na kuabudu Nalifurahia waliponiambia Na twende nyumbani kwa bwana Ooh haleluya haluluya haleluya haluluya Haleluya haluluya Heii haluluya haleluya haluluya Haleluya haluluya haleluya haluluya
Video
Sarah Magesa - Nalifurahia Official Video 4K 2022