Sarah Magesa - Bado Nakungoja Lyrics
Lyrics
Bado bado nakungola hata kama nonalia Baba Bado bado nakungola hata watu wote waniache Niko hapa mwanao bado nakungoja Nakusubiri wewe mwenye majibu yangu Niko hapa mwanao bado nakungoja Nakusubiri wewe mwenye hatima yangu Bado bado nakungoja niko hapa Yesu Bado bado nakungoja niko hapa Baba Bado nakutazama wewe Yesu, Niko hapa mwanao bado nakungoja Niko hapa Yesu, niko hapa mwanao Bado nakungoja nalia machozi lakini nakusubiri wewe Baba
Kuna mtu mmoja aliyeitwa ayubu Maisha yake ya mwanzo yalikuwa mazuri sana Lakini mwisho maisha ya ayubu, yaliku wa mabaya Lakini mwisho maisha ya ayubu, yaliku wa mabaya Alikuwa na mali nyingi mungu alimbabriki Alikuwa na familia uzuri mungu alimbariki Alikuwa na maisha mazuri tena ya kifahari Alikuwa na kila kitu ayubu mungu alimbariki Lakini mwisho wa siku ayubu alibaki masikini Tena pamoja na umasikini alioza mwili mzima Tena pamoja na yote alikuwa ni mtu wa shida nyingi Alilia lia lia kila wakati ayubu Aliteseka kwa mawazo ayubu Lakini moyo wa ayubu ulimtumainia bwana Lakini ayubu alimngoja Yesu Lakini ayubu alimsubiri bwana Mwisho wa siku mambo ya ayubu yakabadikali Aliyekuwa han akitu akawa mwenye utoshelevu Ayubu alikungoja bwana Ayubu alikusubiri
Bado bado nakungoja, hata waniache peke yangu Nipo hapa mwana bado nakungoja Nipo hapa mwana bado nakungoja Bado bado nakungoja, bado nakusubiri Baba Bado nakuangalia wewe, bado nakutumainia wewe Nipo hapa mwana bado nakungoja Nipo hapa mwana bado nakungoja Baba niko hapa
Kama ni kusoma nimesomu sana eehe Nilikuwa na kazi nzuri sana Kama ni elimu niilikuwa na elimu nzuri Ya duniani hapa Hata familia nilikuwa na familia nzuri sana Nilikuwa na watoto, nilikuwa na mali nyingi sana Lakini vyota wimeondoka Yesu Lakini vyota wimeondoka bwana Nimebaki sina mbele wala nyuma mungu wangu Nimekuwa mtu wa kuomba omba kila siku Nimeachishwa kazi nimefutwa kazi Sina mbele wala nyuma Nimefukuzwa kazi sijui bwana mimi ninaishije Ila moyo wangu bado unakusubiri Ila moyo wangu bado unakungoja Ila moyo wangu bado unakutazama wewe Lakini ayubu alimsubiri bwana Mwisho wa siku mambo ya ayubu yakabadilika Aliyekuwa hana kitu akawa mwenye utoshelevu Na mimi ninakungoja bwana Na mimi niko hapa Baba ninakusubiri
Bado bado nakungoja Bado Yesu bado nakusubiri wewe Nipo hapa mwana bado nakungoja Nipo hapa mwana bado nakungoja Bado bado nakungoja Bado Yesu bado nakusubiri wewe Uliyebeba hatima ya maisha yangu Nipo hapa mwana bado nakungoja Nipo hapa mwana bado nakungoja Nakungoja Yesu wangu
Video
Sarah Magesa - Bado Nakungoja (Official Video)