Sifa Lyrics

Usinipite Bwana by Upendo Nkone cover art

Upendo Nkone - Usinipite Bwana Lyrics

Artist:
Upendo Nkone

Lyrics

Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse
(Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse)


Usinipite bwana usinpite
Unapogusa wengine nami niguse
(Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse)


Mawazo yangu na moyo wangu
Nakungoja uniguse
Akili zangu ufaham wangu
Vyote vyakungoja


Ninayo iman ukinigusa
Napokea uzima
Magonjwa yote mwilini mwang
Yataondoka


Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse


Mkono wako gusa tumbo langu
Naomba uponyaji
Kichwa changu na mikono yangu
Na miguu yangu


Na macho yangu naomba uyaguse
Nipate kukuona
Naziamini kazi zako Mungu
Naomba niguse


Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse


Eeh ndugu yangu Yesu anaguvu
Ruhusu akuguse
Familia yako na ndoa yako
Yesu ataponya
Usikate tamaa kwa uliyo nayo
Kwa Mungu yawezekana
Alivyo hurumia wengine
Na kwako atafanya


Usinipite bwana usinipite (ooh ooh)
Unapogusa wengine nami niguse
(Usinipite bwana)
Usinipite bwana(usinipite Yesu)
Usinipite (Nakungoja bwana)
Unapogusa wengine (Eeh mwokozi)


Nami niguse (Eeh usinipite Yesu)
Usinipite bwana (Naomba bwana)
Usinipite (Eeh baba) 
Unapogusa wengine (Wengine) nami niguse


Usinipite bwana usinipite
Unapogusa wengine nami niguse
Usinipite bwana (Usinipite babaa) 
Usinipite (Nakuita Yesu)


Unapogusa wengine (Eeh yeye baba) 
Nami niguse (Usinipite baba yangu)
Usinipite bwana (Usinipite bwana)
Usinipite (Nakungoja bwana) 
Unapogusa wengine (Nami niguse baba)
Nami niguse (Niguse bwana wangu)


Video