Sifa Lyrics

Namba Moja by Walter Chilambo cover art

Walter Chilambo - Namba Moja Lyrics

Artist:
Walter Chilambo
Album:
Thank You Lord
Official Release:
15 Nov 2017

Lyrics

Wacha niseme, we ni namba moja
Umenifanya wa thamani wa pekee
Hakuna kama we, na sioni mwingine tena
Wakufanana nae, ila ni wewe bwana
Wakufanana nae, ila ni wewe bwana
And i believe, ni wewe pekee yako
And i believe, bila wewe nisingekuwepo


Maana uliniumba, kwa mfano wako we
Huo ni upendo usiolezeka
Uzuri na sifa zako, nitaimba milele
Ili wajue we ni, namba moja
Kwa maana uliniumba kwa mfano wako we
Huo ni upendo usiolezeka
Uzuri na sifa zako nitaimba milele
Ili wajue we ni, namba moja


We ni namba moja (we ni namba moja)
We ni namba moja (namba moja)
We ni namba moja (namba one) (namba one)
Namba moja
We ni namba moja (namba moja)
We ni namba moja, namba moja
We ni namba moja, namba moja
We ni namba moja, namba moja


Umekuwa mwaminifu, tena kwangu ni mwema
Umenipa uvumilivu, nimesimama tena
Hatua za maisha yangu, wazijua vyema
Umekuwa mwaminifu, tena kwangu ni mwema
Umenipa uvumilivu, nimesimama tena
Hatua za maisha yangu, wazijua vyema


And i believe, we ni namba moja
And i believe, you're the only one
Only one god
We ni namba moja, only one god
We ni namba moja, namba moja
We ni namba moja, namba one
Namba one, namba moja
We ni namba moja, namba moja
We ni namba moja , namba moja
We ni namba moja , namba moja
We ni namba moja


Maana uliniumba kwa mfano wako we
Huo ni upendo usiolezeka
Uzuri na sifa zako nitaimba milele
Ili wajue we ni namba moja


And i believe, wewe ni namba moja
And i believe, wewe ni namba moja
Namba moja , namba moja
Namba moja


Video