Sifa Lyrics

Sijaona by Walter Chilambo cover art

Walter Chilambo - Sijaona Lyrics

Artist:
Walter Chilambo
Album:
Thank You Lord
Official Release:
08 Jun 2020

Lyrics

Intro ;


aaahhh Thank you Jesus,


Thank You Lord,Hallelujah


Sijaona Kama wewe sijaona


Sijaona kama weweee bwanaa 


CHORUS 


Sijaona kama wewe eeehhh


Sijaona kama wewe eehh Bwana 


VERSE 1


Nimekukimbilia wewe ili nisiaibike


Nakinywa changu kinene utukufu kwako milele


Nisiwe mbali na uso wako,na kweli yako inifunike


Giza litapotanda,Nuru yako inimulike


Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu


sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu


tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu


utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh


CHORUS


Sijaona kama wewe eeehhh


Sijaona kama wewe bwanaa


VERSE 2


Nitatangaza ushindi asubuhi na mapema


Maana vita yangu YESU ni wewe umenishindia


Na lile vazi la aibu ukanitoa ukanivika la heshima


niseme nini Bwana hakuna kama wewe eeehh


Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu


sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu


tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu


CHORUS 


Sijaona kama wewe 


Sijaona kama wewe bwanaaa


utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh


Video