Willy Paul - Alkaida Lyrics

Album: Alkaida - Single
Released: 04 Jan 2019
iTunes Amazon Music

Lyrics

Willy pozee Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida (pozeee)

Alkaida, nanukia ka cologne Nivute kama ndom Mi ni yule king of flow** call me commando Kazi ni kuimba tu na kumake doh

Tena ananikalia kuna na aibu Anaogopa sana asipate aibu Naomba hii imfikie hadi chibu Na wote wajue kuna jitu

Kuna watu wenye roho mbaya Hawapendi ona ukipenya But nabisha kila door Ata waninyonge koo Mimi ndo  the king of flow And they know

Kwenye mitandao nipo tu kila sehemu Vijijini na mataoni (aah kila sehem) Radio, TV,  niko pia kwenye system Ngangari kama root na stem

Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida

Alkaida, najiamini ndume Alkaida (pozee) Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida(jibu)

Kama kuna ndume naomba nijibu Usifanye tabia za kiaibu Huyu ni willy poze mr ibubu Just incase ulijisahaulisha

Unajaribu kufunga njia zangu za afrika (Afrika ya mama) Unasahau wewe sio sio mungu baba (sio mungu baba)

Umekwama plan a Niko plan b Mungu amefungua njia ata na cardi b Kuna rihananana (my rihananana eeh pia)

Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida

Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida

Alkaida, najiamini ndume Alkaida(pozee) Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida(jibu)

 

Video

Willy Paul - Alkaida (Official video)

Thumbnail for Alkaida video
Loading...
In Queue
View Lyrics