Sifa Lyrics

Upendo Nkone - Alitakalo Analitenda Lyrics

Artist:
Upendo Nkone

Lyrics

Mungu kule mbingu juu
Kila alitakalo lolote analitenda
Yeye ni mwenye nguvu sana
Lile alilopanga yeye huezi zuia


Upitapo kwenye shida na nyakati ngumu
Nyakati za maumivu pia za machozi mengi
Wewe usilalamike wala usimkufuru Mungu
Mwenyewe ameruhusu upite hatokuacha


Faraja iliyo ya kweli inatoka kwa Mungu
Tulia mwachie Mungu yeye anajua yote
Mapito ni lazima tupite 
Ili utumishi wetu sisi uimarike


Mimi siwezi, siwezi kukuzuia usilie
Maana ni kweli una maumivu moyoni
Nachoweza kusema ni kwamba unyamaze
Farijika kubali mapenzi ya Mungu


Mimi siwezi, siwezi kukuzuia usilie
Maana ni kweli una maumivu moyoni
Nachoweza kusema ni kwamba unyamaze
Farijika kubali mapenzi ya Mungu


Mimi siwezi, siwezi kukuzuia usilie
Maana ni kweli una maumivu moyoni
Nachoweza kusema ni kwamba unyamaze
Farijika kubali mapenzi ya Mungu


Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 


Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 


Ona machozi yanatutoka
Tumehuzunika mioyo imeumia 


Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 


Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia 
Utufariji ee Bwana tumeumia