Sifaeli Mwabuka - Maombi Yangu-Timiza Lyrics

Lyrics

Maombi yangu mungu nilimwambia aah Maombi yangu mungu nilimueleza aah Maombi yangu mungu nilimwambia aah Maombi yangu mungu nilimueleza aah

Ombi la kwanza aah Alikumbuke jina langu Ombi la pili, anisamehe maovu yangu Ombi la tatu, niwe na upendo kwa wote eeh Ombi la nne aiponye nyumba yangu Ombi la tano niwapende adui zangu Ombi la sita asiniache pekeyangu (daima aah) Ombi la kwanza aah Alikumbuke jina langu Ombi la pili, anisamehe maovu yangu Ombi la tatu, niwe na upendo kwa wote eeh Ombi la nne aiponye nyumba yangu Ombi la tano niwapende adui zangu Ombi la sita asiniache pekeyangu (daima aah) Uh Baba aah

Wewe ni mungu usiyebadilika Wewe ni Baba aah Wewe usiyeaga Wewe ni mungu usiyebadilika Wewe ni Baba aah Wewe usiyeaga Wewe ni Alfa, tena na Omega Wewe ni mwanzo, tena wewe ni mwisho Uliyeumba aah, lakini wewe hukuumbwa Wewe ni Alfa, tena na Omega Wewe ni mwanzo, tena wewe ni mwisho Uliyeumba aah, lakini wewe hukuumbwa

Timiza ahadi zako kwangu Baba aah Timiza ahadu zako ulizoniahidi Timiza ahadi zako kwangu Baba aah Timiza ahadu zako ulizoniahidi Uliniahidi nitabarikiwa amin Uliniahidi Baba utaniinua amin Uliniahidi Baba utaniponya aah, amin Uliniahidi Baba utanipa mwenza wangu amin Uliahidi Baba utanipa watoto amin Uliniiahidi Baba utuanilinda aah amin Uliniahidi Baba utakuwa pamoja nami amin ah aah Baba yangu oh Baba timiza aah aah (Baba aah timiza) Bado nina Imani na wewe (Baba aah timiza) Ahadi zako za kweli (Baba aah timiza) Uliniahidi utanibariki (Baba aah timiza) Uliniahidi utanitetea (Baba aah timiza) Uliniahidi utaniponya (Baba aah timiza)

(Baba aah timiza) Bado nina Imani na wewe (Baba aah timiza) Ahadi zako za kweli (Baba aah timiza) Uliniahidi utanibariki (Baba aah timiza) Uliniahidi utanitetea (Baba aah timiza) Uliniahidi utaniponya (Baba aah timiza)

Video

MAOMBI YANGU (TIMIZA)-OFFICIAL VIDEO BY SIFAELI MWABUKA 2021 SMS SKIZA 6384007 TO 811.

Thumbnail for Maombi Yangu-Timiza video
Loading...
In Queue
View Lyrics