Wakati Wangu ni Lini

Wakati Wangu ni Lini Lyrics

Nijiuliza sana 
Nijiuliza sana kila siku  
wakati wangu ni lini 
wakati wangu ni lini? .

Wakati wa kukutana na wewe
Wakati wa kuona mkono wako 
Wakati wa kuona baraka zako  
Wakati wa kuinuliwa na wewe 
Wakati wangu ni lini?
Wakati wangu ni lini? .

Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 
Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu  .

Wengi wamesema subira huvuta heri 
Wengi nimesia mvumilivu hula mbivu 
Wengi wamesema subira huvuta heri 
Wengi nimesia mvumilivu hula mbivu  .

Hezekia alikwita Mungu wangu 
Nawe ulimsikia Baba 
Ulipotuma mtumishi wako Eliya 
Atengeneze mambo ya nyumbani mwake 
Ndipo Ezekia akageuka akukuita Mungu wangu 
Nawe ukamsikia Baba 
Wakati wangu ni lini Baba? 
Wakati wangu ni lini Baba niambie  .

Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 
Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu  .

Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu 
Niambie ni lini Baba 
Niambie ni lini Mungu wangu  .


Share:

Write a review/comment of Wakati Wangu Ni Lini:

0 Comments/Reviews


Sifaeli Mwabuka

@sifaeli-mwabuka

Bio

View all songs, albums & biography of Sifaeli Mwabuka

View Profile

Bible Verses for Wakati Wangu ni Lini

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music