Alijitoa Msalabani

Alijitoa Msalabani Lyrics

Nimeamua Yesu kuwa mwokozi wangu 
Kwani yeye rafiki mwema kwangu
Nipitapo kwenye bonde la uvuli wa mauti 
Ananipa faraja na ushindi  .

Nimeamua Yesu kuwa mwokozi wangu 
Kwani yeye rafiki mwema kwangu
Nipitapo kwenye bonde la uvuli wa mauti 
Ananipa faraja na ushindi  .

Alijitoa msalabani akanikomboa 
Bila sababu yoyote akanipenda Yesu 
Alijitoa msalabani akanikomboa 
Bila malipo yoyote ananipenda  .

Alijitoa msalabani akanikomboa 
Bila sababu yoyote akanipenda Yesu 
Alijitoa msalabani akanikomboa 
Bila malipo yoyote ananipenda  .

Upendo wako Baba wanizunguka 
Mbele na nyuma 
Upendo wako Baba wanizunguka 
Kushoto kulia 
Upendo wako Baba wanizunguka 
...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Alijitoa Msalabani:

0 Comments/Reviews