Healing Worship Team - Mimi Ni Nani Lyrics
- Song Title: Mimi Ni Nani
- Album: Mimi Ni Nani - Single
- Artist: Healing Worship Team
- Released On: 30 Sep 2020
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Mimi ni nani, nisimshagiliye bwana
Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Wewe ni nani, usimshagiliye bwana
Wewe ni nani, usimshagiliye bwana
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Viumbe vyote, ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu
Viumbe vyote, ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Viumbe vyote, ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Mimi ni nani, nisimshangiliye bwana
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Viumbe vyote, ni lazima vikuimbiye
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Viumbe vyote, ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Viumbe vyote, ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba ?
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza
Hakuna mlima ambawo yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo, ambalo yeye hawezi maliza